Mkuu nakuunga mkono kwa asilimia 100 huo ni udhaifu wa hali ya juu kabisa, wenzetu wanatumia hiimichuano kujifunza na kuwa motivate wachezaji ili nao waone ni muhimu kiasi gani wanapovaa jezi ya timu ya Taifa wapigane kwani mwisho wa siku dunia inakuja kuwatazama, ni jambo la aibu sana kama hakuna kituo hata kimoja ambacho ni local kinachorusha hhiyo michuano hata kama sio mechi zote lakini zile hatua muhimu labda ufunguzi, big match, robo fainali, nusu na fainali yenyewe, watu wamekalia majungu tu hawana lolote, tutaishia kuangalia Recorded tu hii ni Aibu kubwa.:shock: