Yombayomba
JF-Expert Member
- Aug 23, 2006
- 818
- 214
hatimaye timu ya vijana wadogo(zambia)imefanya kweli!bila kuogopa majina makubwa kama,ba,niang wala demba sice.hongera sana,tanzania tujifunze kuandaa vijana wadogo sio kila cku hayo masimbe(mazee)tu!hatutafika.
Mkuu
Watu kila siku hapa tunapiga kelele kocha kweli anpanga na kumchagua KASEJA, lakini watu wanadai hatumpendi kwa u simba na u yanga, wanasahau toka KASEJA arudi timu ya taifa haijapata mafanikio. Anamuita tena MACHUPA? kweli kocha anawatendea haki mashabiki?