2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

hatimaye timu ya vijana wadogo(zambia)imefanya kweli!bila kuogopa majina makubwa kama,ba,niang wala demba sice.hongera sana,tanzania tujifunze kuandaa vijana wadogo sio kila cku hayo masimbe(mazee)tu!hatutafika.

Mkuu
Watu kila siku hapa tunapiga kelele kocha kweli anpanga na kumchagua KASEJA, lakini watu wanadai hatumpendi kwa u simba na u yanga, wanasahau toka KASEJA arudi timu ya taifa haijapata mafanikio. Anamuita tena MACHUPA? kweli kocha anawatendea haki mashabiki?
 
Mkuu nakuunga mkono kwa asilimia 100 huo ni udhaifu wa hali ya juu kabisa, wenzetu wanatumia hiimichuano kujifunza na kuwa motivate wachezaji ili nao waone ni muhimu kiasi gani wanapovaa jezi ya timu ya Taifa wapigane kwani mwisho wa siku dunia inakuja kuwatazama, ni jambo la aibu sana kama hakuna kituo hata kimoja ambacho ni local kinachorusha hhiyo michuano hata kama sio mechi zote lakini zile hatua muhimu labda ufunguzi, big match, robo fainali, nusu na fainali yenyewe, watu wamekalia majungu tu hawana lolote, tutaishia kuangalia Recorded tu hii ni Aibu kubwa.:shock:
 
Nafikiri ni mapema mno kubashiri illa tukumbuke siku hizi mpira hauangalii majina makubwa tena, kuna nchi zimewekeza kwenye soccer academy zinaweza kushangaza kwenye AFCON:
 
Natazama kupitia KBC1 na umeme pia matangazo yakiwa upande wangu nitaweka hapa matukio yote muhimu. Nyimbo za Mataifa hayo zimeshapigwa na mtanange utaanza soon. Stay tuned.
 
Code' wamepata kona, ambayo haikuzaa matunda kwao, ni timu yenye wachezaji wajanja sana kwa mechi hii hadi muda huu.
 
COTE D'IVOIRE wana Yahya Toure, Solomon Kaloue, D. Drogba ambaye ni team captain, combination yao ni hatari kwa Sudan.
 
Dakika ya ngapi na mpira kwa ujumla uko vipi?
 
Msilalamike sana, mwaka huu serikali haikupata mfadhili lakini juhudi za makusudi zinafanywa ili mwakani tupate mfadhili.
 
pamoja sana bro.
Tunakutegemea...

Asante sana mkubwa, dakika ya 38 mtandao uliniletea matatizo na muda huo Drogba kawapa zawadi wenzie na ninavyo post timu zote zimechachamaa hata hivyo Cote 1 - sudan 0
 
Back
Top Bottom