Niliona mtu kama Mugabe jukwaa kuu. Ni yeye au waafrika tu wanafanana?
Nadhani utakuwa umekosa mojawapo ya mechi nzuri sana duniani.......Ni fainali nzuri sana hiiiduh natamani ningeiona hii match inaonekana ni tamu sana.
ingekuwa ni starz sasa hivi tushatiwa kama mia hivi..
Pia Michel Platini....Rais wa UEFASep blatter RAIS wa FIFA naye yupo .