2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

Safi sana Kennedy Mweene...

Kipa katulia sana huyu....


Mayuka anakosa goli la wazi kabisa........Kona
 

....mayuka karibia anivunjishe mguu hapa kwa mdadi...dahh! what a save from kolo!
 
Mpira uishe sasa mana naona bp inanipanda! bora dkk 120-, kuliko hizi za majeruhi.
 
Safi sana Kennedy Mweene

Mpira umekwisha.....Dakika 4 zimeisha tayari
 
Back
Top Bottom