kalusha bwalya katumia vizuri fedha za ruzuku ya FIFA ambazo FIFA hutoa kusaidia miradi ya kuendeleza soka na vijana kwa wanachama wake duniani. Hata jana baada ya southern sudan kuingizwa rasmi CAF, fifa imewabejetia 250,000.00 kwa mwaka. Hapa petu TFF haujulikani fedha hizo zinatumika vipi kuendeleza vijana wake. hapa petu fedha hizo za FIFA hutumika kumlipa kocha mbovu,semina za marefa wa zembe, semina za makocha wazalendo wasio na timu za kufundisha na kulipia mafuta ya magari.
kalusha Bwalya ni tajiri sana ndio maana kazitumia vizuri ruzuku za FIFA kwa niaba ya wananchi wa zambia wafurahi. Hapa petu uchaguzi ujao tumpatie mtu tajili aliyelizika na pesa zake. Mtu kama Davis Mosha, Jumanne Kishimba na bakhresa ndio wan sifa za kuongoza TFF la sivyo tutaishia kupata mihaibu ya kufungwa hovyo kila mashindanoni. leo zambia kubeba ndoo la afcon si utani ila ni kazi nzuri ya raisi wao wa ZAF mshikaji Kalusha Bwalya. kuanzia leo TFF ipewe matajili kukiongoza na sio utani tutafika mbali kisoka.