2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

Zambia kashinda kwa magolu ya penati 8-7. Yaani ninafuraha kubwa kupita kiasi kwa ushindi huo. timu ya kusini mwa jangwa la shara kuzitoa kisoka mpaka kushinda kombe ugenini west africa , ni ushindi wa kujivunia. Haya jamani tuwape hongera wajirani zetu. hii ndio sifa inayotakiwa africa kuchukua ndoo la Afcon na siyo kujivunia kusaidia wakimbizi au eti kusuluhisha migogoro ya watu.
 
kwa hiyo kipa wa cote alipigwa kipapai nini ndio maana alikuwa hadaki nini..

Kulikuwa na magic of the crash fright pale na binafsi sikuamini kama zambia wangeweza kucheza soka ya kuvutia kiasi kile, ukizingatia mpira wao karibu unalingana sana na huu wa bongo.
they have made a history and my day too ukizangatia huko Premia ligi nako ilikuwa raha tupu.
 
Hongera Zambia ushindi wenu ni hamasa kwetu ukizingatia ukaribu wetu...Tanzania tujifunze kuwa na mipango madhubuti katika soka. Zambia wameweza kwa nini sisi tushindwe?
 
he he he! Kweli kuna watu nh wehu! Endeleeni kusema drogba gooo! Mbav zenu! Mmebana sasa ona, manumanu mbwambwambwa, najua mtakasirika kweli, ila poa tu ndo zambia hao labda tuongelee ya taifa stars! Ila ila 'stars' ingeondolewa kuwekwa 'failure'. Isomeke taifa failure! Ha ha!
 
he he he! Kweli kuna watu nh wehu! Endeleeni kusema drogba gooo! Mbav zenu! Mmebana sasa ona, manumanu mbwambwambwa, najua mtakasirika kweli, ila poa tu ndo zambia hao labda tuongelee ya taifa stars! Ila ila 'stars' ingeondolewa kuwekwa 'failure'. Isomeke taifa failure! Ha ha!
 
kalusha bwalya katumia vizuri fedha za ruzuku ya FIFA ambazo FIFA hutoa kusaidia miradi ya kuendeleza soka na vijana kwa wanachama wake duniani. Hata jana baada ya southern sudan kuingizwa rasmi CAF, fifa imewabejetia 250,000.00 kwa mwaka. Hapa petu TFF haujulikani fedha hizo zinatumika vipi kuendeleza vijana wake. hapa petu fedha hizo za FIFA hutumika kumlipa kocha mbovu,semina za marefa wa zembe, semina za makocha wazalendo wasio na timu za kufundisha na kulipia mafuta ya magari.

kalusha Bwalya ni tajiri sana ndio maana kazitumia vizuri ruzuku za FIFA kwa niaba ya wananchi wa zambia wafurahi. Hapa petu uchaguzi ujao tumpatie mtu tajili aliyelizika na pesa zake. Mtu kama Davis Mosha, Jumanne Kishimba na bakhresa ndio wan sifa za kuongoza TFF la sivyo tutaishia kupata mihaibu ya kufungwa hovyo kila mashindanoni. leo zambia kubeba ndoo la afcon si utani ila ni kazi nzuri ya raisi wao wa ZAF mshikaji Kalusha Bwalya. kuanzia leo TFF ipewe matajili kukiongoza na sio utani tutafika mbali kisoka.
 
Zambia wamefanya mabadiliko kwa kukiondoa chama tawala na mafanikio ndio yanakuja kila sekta kama hivi..
 
Soccer is a about making the best use of the chances available.Zambia proved that throughout the match..
 
BY GWANKAJA GWAKILINGO
:lol:FOR THE BRAVE NOYHING IS TOO DIFFICULT" Wakicheza kwa kujiamini bila wasiwasi wameweza kumpoteza kabisa Yaya Toure kiasi
kwamba mwl akamtoa nje, ni vijana wadogo kabisa na wakubwa kwa uchache walioamua kulitetea Taifa lao huku wakicheza nyuma
ya kumbukumbu ya vifo vya kaka zao mwaka 1993 wameweza kumuangusha tembo hawakujali majina lukuki yaliyo sheheni pale
Ivory coast Grory Grory Grory ZAMBIA.Tanzania tumekalia maneno tu na Siasa tu

Zambia walipojikomboa kisiasa ndipo wapopata break through ya mambo mengine kwa sisi watz tunayo mengi ya kujifunza kwa Zambia kuanzia kwenye siasa kabla hata ya mpira kumbuka falsafa ya Nyerere ili tuendelee tunahitaji ****, *****, siasa safi na........... haimaanishi maendeleo ya kiuchumi tu bali maendeleo katika siasa yataleta mapinduzi ya kiuchumi na kijami
 
zambia-with-african-cup-of-nations-2012_2717672.jpg
_58466507_zambia_getty1.jpg


628x471.jpg


images
REST IN PEACE
 
,maajabu,Sisi hapa hatuoni kama hizo ni sifa za kujivunia. Ila sifa za kujivunia kwetu ni ni kusaidia wakimbizi, kupokea samaki waliokoswakoswa na mionzi ya nukrea kutoka japan ili wananchi wetu wakale, kusuluhisha migogolo ya watu na kuweka palestina day kutukana wayahudi kila mwaka! HOngera sana ZAmbia! Hongera sana Kalusha Bwalya! Hongera sana mzeewa zamani Kaunda kwa kuweka misingi mizuri ya soka ambayo leo imezaa matunda. Zambia sasa inaheshimika sana Africa!
 
:lol:FOR THE BRAVE NOYHING IS TOO DIFFICULT" Wakicheza kwa kujiamini bila wasiwasi wameweza kumpoteza kabisa Yaya Toure kiasi

kwamba mwl akamtoa nje, ni vijana wadogo kabisa na wakubwa kwa uchache walioamua kulitetea Taifa lao huku wakicheza nyuma

ya kumbukumbu ya vifo vya kaka zao mwaka 1993 wameweza kumuangusha tembo hawakujali majina lukuki yaliyo sheheni pale

Ivory coast Grory Grory Grory ZAMBIA.Tanzania tumekalia maneno tu na Siasa tu:A S 465:

Mkuu si ni kama vile ki bajaji kilivyoweza kuliangusha TINGATINGA huko Mtera, mpaka leo Ze Mtus, Le baharia aka @ny.com bado anavaa nguo nyeusi kwa huzuni.

Natumaini timu zetu na uongozi wetu watakuwa wamejifunza, hasa Yanga wanaocheza na Zameleki siku za karibuni, wanatakiwa wasihofie majina, wajitume tu, ila hawa jamaa wana kocha mzuri, ndo maana naona mfadhili wa Yanga alimtaka saana, lakini Zambia wakamshinda dau akabaki.
 
The only thing I can say is WOW.Na mpaka sasa hivi siamini lakini nalazimika kukubali kuwa penye nia pana njia.Wameonesha nia na mwisho wamepata njia kwa kuvitoa mashindanoni vigogo vya soka barani Afrika, Ghana and Ivory Coast na mwisho kutwaa ubingwa wa Afrika.Swali sasa.., Mazuri kama haya hapa kwetu Tanzania yatafika lini?
 
Back
Top Bottom