Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenyeji wanataka CIV washinde.....Wengi wanashangilia CIVSijui wenyeji wanataka nani ashinde
Huyu Musonda anacheza soka wapi zambia au majuu ?Mkongwe Musonda kaumia.......Naomba Mungu lisiwe tatizo kubwa sana
Anachezea Golden Arrows ya South Afrika......Huyu Musonda anacheza soka wapi zambia au majuu ?
Kwa kweli Zambia wanaonesha uhai wa hali ya juu......Wanashambulia
Kwa dakika hizi 15 za mwanzo Zambia wamewazidi sana CIV........Wanakaba na wanashambuliaNasikia wachambuzi wanasema on paper ivory coast msindi lakini on statistics Zambia mshindi . Mara nyingi wamekutana zambia amekwa mbabe kwa Ivory coast
Safi sana Zambia