2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

Kama kawa katika dk ya 8 zambia wanaonyesha the art of footbal . gonga za hapa na pale japo hazina matunda
 
Kwa kweli Zambia wanaonesha uhai wa hali ya juu......Wanashambulia

Nasikia wachambuzi wanasema on paper ivory coast msindi lakini on statistics Zambia mshindi . Mara nyingi wamekutana zambia amekwa mbabe kwa Ivory coast
 
Nasikia wachambuzi wanasema on paper ivory coast msindi lakini on statistics Zambia mshindi . Mara nyingi wamekutana zambia amekwa mbabe kwa Ivory coast
Kwa dakika hizi 15 za mwanzo Zambia wamewazidi sana CIV........Wanakaba na wanashambulia
 
Back
Top Bottom