2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

hatimaye zambia yatwaa ubingwa kwa kuifunga ivory coast kwa penalt 8 kwa 7!mungu alikuwa upande wao.hongera sana.viongozi wa soka tz mjifunze sio ubabaishaji 2!
 
all starz they damp their countries this time..
asante kwa kuweza kubashiri..
 
Zambia hongera,kumbe ile timu mwaka 1993,waliland Libreville kabla ya kupata ajari ya ndege wakielekea Senegal
 
19 years on the scene an n the coutry where therr plane crashed zambia have won AFCON .

WOOOOOOOOW
 
Hakika Mungu ni mkubwa........

Hii ni dedication kwa

Waliokufa kwa ajali ya ndege mwaka 1993 hapo hapo Gabon....
 
Back
Top Bottom