jamani wekeni na links kama vipi na sisi wengine tusome,mimi nisiwe muongo mwaka huu nimeshindwa kusoma vitabu kwa sababu ya shule but frm january i'll be free. thanx wadau
Vinasomeka sana tu. Wengine list ni ya top 10 zao au vile walivyovikumbuka wakati wanaandika hapa tu.
Kati ya vitabu vya Kiswahili nilivyosoma ni pamoja na
1. Hard copy ya Kwa heri Uhuru Kwa heri Ukoloni cha Harith Ghassany
2. Mwafrika Aimba cha Shaaban Robert
3.
*Juu ya kusema hayo, vitabu vilivyoandikwa kwa Kiswahili havipatikani vyema katika maduka makubwa ya vitabu kama Amazon. Pia promotion nayo haifanywi vya kutosha hata wa nje ya nchi wakajua kuna kitabu kipya kinatoka
hahahahaha! sorry its ''intellectual''And what exactly is "interlectual" ?
I did not read any notable book in 2012, the thread made me feel embarrassed that I have not read any book.
I am giving myself a target of reading at least 12 books in 2013, the selection will base from the articles you have just mentioned in this thread.
Thanks guys for awakening my mind.
You can say that again lol