2012: The Year in Books (Your Top Ten List)

2012: The Year in Books (Your Top Ten List)

jamani wekeni na links kama vipi na sisi wengine tusome,mimi nisiwe muongo mwaka huu nimeshindwa kusoma vitabu kwa sababu ya shule but frm january i'll be free. thanx wadau

Andy Chande alikiweka kitabu chake online watu wa download free. Unatakiwa kuwa na PDF reader.

Chande, J. K. (2005). A Knight in Africa: Journey from Bukene.

Books
 
Vinasomeka sana tu. Wengine list ni ya top 10 zao au vile walivyovikumbuka wakati wanaandika hapa tu.

Kati ya vitabu vya Kiswahili nilivyosoma ni pamoja na

1. Hard copy ya Kwa heri Uhuru Kwa heri Ukoloni cha Harith Ghassany

2. Mwafrika Aimba cha Shaaban Robert

3.

*Juu ya kusema hayo, vitabu vilivyoandikwa kwa Kiswahili havipatikani vyema katika maduka makubwa ya vitabu kama Amazon. Pia promotion nayo haifanywi vya kutosha hata wa nje ya nchi wakajua kuna kitabu kipya kinatoka

Umeeleweka ile mbaaayaaa kabisa.............
 
Very useful thread Kiranga, too bad nimeiona a bit late. Only the top ten and I won't mention the ones I HAD TO read for accademic requirements, just the ones I read na zikanivutia (kwa kuzipinga au kuziunga mkono). In chronographic order from last to first (katika the only two non fictions nilibahatika kusoma mwaka huu moja naisoma regularly)


  1. Why Africa Fails by Elly Kamugisha (kimezinduliwa 15th of December 2012 in Kampala)
  2. The bottom Billion: why the poorest countries fail and what can be done about it by Prof P. Collier
  3. Les coullisses du pouvoir sous Mobutu Evariste Mabi Mulumba (2011)
  4. From third world to frist : the singapore story Lee Kuan Yew (2000)
  5. Fixing fragile states: a new paradigm of development, Seth Kaplan (2008)
  6. Rent for riches? The political economy of natural ressource-led development by Naazneen H et al, 2012
  7. Rural development, putting the last first, Robert Chcambers (1983)
  8. Comment dire non, savoir refuser sans offencer. William Urry, 2007
  9. Majeruhi wa Mapenzi by Mzee Mwanakijiji (My first Swahili novel ever) #guilty
  10. The little prince ("le petit prince, version originale avec les aquarelles de l'auteur"), Antoine de Saint Exupery, (1945) again and again, I can't take it off my top ten list #TwoTimesGuilty

Ningependa EMT na AshaDii wanigongee like for this post (AshaDii for number One and EMT for 5, 6 and 7). hahahaha
Pia whoever read number 2, anambie what he thinks of the CAR security situation vis a vis "Burkinafasso"
 
I did not read any notable book in 2012, the thread made me feel embarrassed that I have not read any book.

I am giving myself a target of reading at least 12 books in 2013, the selection will base from the articles you have just mentioned in this thread.

Thanks guys for awakening my mind.

You can say that again lol
 
Back
Top Bottom