Lazima nimbwele mbwele Manoah.. Maana natishia amani ya mtu hapa..
dada nivea heshima yako mara dufuuu,,
tutakesha wote humu leo
nakutakia heri ya mwaka mpya wa 2013
haya the big show tusameheane ya 2012 .... Kheri ya mwaka 2013
Shikamoooo mwalimuuuu...!!! Kheri ya mwakaa 2013 Mungu mwenyezi anatupenda, tumshukuru