2013.. Namtangaza rasmi aiumizae nafci yangu hapa cc..

2013.. Namtangaza rasmi aiumizae nafci yangu hapa cc..

Mapenzi mapenzi haya yanatesa watu, juhudi hizi tungezifanya katika kumtafuta Mungu
 
Baada ya kuvumilia sana hatimae uvumilivu umenishinda.. Nime-fall sana binti mmoja humu japo najua kuna vidume vinavyojifanya kujua kuwahi.. Niko radhi kumlipa yule ambae atakua nae huyu binti ili aniachie.. Maana ninajua hampendi kama mie nimpendavyo.. Halafu anam-cheat kila mara..

Naomba kumtangaza racmi..

sosoliso happy nu yah mkuu.
 
Last edited by a moderator:
mtaje basi,mbona unakuwa kama yule mlevi aliyevua nguo hadharani ,akakchuchumaa,halafu akaanza kuuliza kadamnasi,NIINYEE NISINYEEE???
 
mtaje basi,mbona unakuwa kama yule mlevi aliyevua nguo hadharani ,akakchuchumaa,halafu akaanza kuuliza kadamnasi,NIINYEE NISINYEEE???

Ha ha ha.. Niliomba ruksa kumtaja.. Hajani-pm back mpaka sasa hivi.. Akinipa 2 go ahead namtaja..
 
mtaje basi,mbona unakuwa kama yule mlevi aliyevua nguo hadharani ,akakchuchumaa,halafu akaanza kuuliza kadamnasi,NIINYEE NISINYEEE???

hah hah hah hah hah! Jf bana!!!?
 
Back
Top Bottom