2013.. Namtangaza rasmi aiumizae nafci yangu hapa cc..

Heri na kwako pia Manoah.. Niko kwenye harakati za kumtaja hapa..
Chelewa chelewa utakuta mwana si wako, si unamjua Chimbuvu? Sasa ivi anatafuta mtu kwa udi na uvumba baada ya kuchezea cha mbavuuu kutoka kwa madame B
 
mh! Ngoja nikajilalie mie na Kailash wangu, cha Kushukulu Mungu Mwenyezi ametupenda tumeeingia mwaka 2013 salama. Bye bye Erickb52 , gfsonwin , sosoliso , Charminglady , Mc chijui .... Siku njema na nina wapendaaaa sanaaaa
 
Asante manoah
Pumzika mi bado niponipo sana tu
Happy new year kwako.
Gud nyt
 
Last edited by a moderator:
Chelewa chelewa utakuta mwana si wako, si unamjua Chimbuvu? Sasa ivi anatafuta mtu kwa udi na uvumba baada ya kuchezea cha mbavuuu kutoka kwa madame B

Chivumbu kila mahali anachezea cha mbavu lol.. Ila aciniingilie tu hapa kwa mahaba yangu..
 
sasa mkuu mbona hujataja jina banaa...au waogopa competition???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…