2013.. Namtangaza rasmi aiumizae nafci yangu hapa cc..

We jicheleweshe tu, mwaka mpya huu akiibuka na mwingine usilaumu! lol

Ha ha ha.. Tatizo najua kuna mtu mmoja hapa anaitwa Bujibuji.. Nina mashaka nae sana kwamba hapo nilipodondokea mie nae anajifanya yumo..
 
Yaani kwa kuchelewa kwako sosoliso wengine washachukua nafasi
Ukienda kuomba mkeka wahi mapema mwenzako anaweza kukuwahi aise
Heri ya mwaka mpya sosoliso ,mwalimu gfsonwin nitonye, Erickb52

Heri ya Mwaka Mpya Kwako pia Mr. Rocky..

Nimeshambaini mpinzani wangu tishio kwa L'aziz wangu mahabuba.. King'amuzi cha tv yangu ya rohoni..
 
Last edited by a moderator:
hahhaha mkuu tiririka... umejipanga lakini mwenyewe asijekukushusha mshipa

ha ha ha Mkuu.. Nzi kufia kwenye kidonda ndo cifa yake.. Na anishushe tu hilo busha lakini katu citachelea kuliweka wazi langu pendo kwa huyo muhucika..
 
ha ha ha Mkuu.. Nzi kufia kwenye kidonda ndo cifa yake.. Na anishushe tu hilo busha lakini katu citachelea kuliweka wazi langu pendo kwa huyo muhucika..

hahhahha mtaje sasa mbona unagwaya... kumbe huo mwili mbwembwe kwa mbio
 
Heri ya Mwaka Mpya Kwako pia Mr. Rocky..

Nimeshambaini mpinzani wangu tishio kwa L'aziz wangu mahabuba.. King'amuzi cha tv yangu ya rohoni..

sosoliso usipoangalia vyema watakusaidia kummuvuzisha kwenye digital wakati wewe umebaki kwenye analogy
 
Last edited by a moderator:
sosoliso usipoangalia vyema watakusaidia kummuvuzisha kwenye digital wakati wewe umebaki kwenye analogy

Ha ha ha.. Na kweli Mkuu.. Maana naona kimya kimya tu members hawafunguki..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…