Ha ha ha.. Tatizo najua kuna mtu mmoja hapa anaitwa Bujibuji.. Nina mashaka nae sana kwamba hapo nilipodondokea mie nae anajifanya yumo..
"Only, only the fittest of the fittest shall survive". Au siyo Kipipi?
Baada ya kuvumilia sana hatimae uvumilivu umenishinda.. Nime-fall sana binti mmoja humu japo najua kuna vidume vinavyojifanya kujua kuwahi.. Niko radhi kumlipa yule ambae atakua nae huyu binti ili aniachie.. Maana ninajua hampendi kama mie nimpendavyo.. Halafu anam-cheat kila mara..
Naomba kumtangaza racmi..
mtaje basi,mbona unakuwa kama yule mlevi aliyevua nguo hadharani ,akakchuchumaa,halafu akaanza kuuliza kadamnasi,NIINYEE NISINYEEE???