- Thread starter
- #181
Sijaangalia games za OKC mwaka huu, hivi Thabeet bado anachezea OKC?
Daah.....dogo anasugua benchi tu na kupigia wenzake makofi aisee....na kwenye fainali hii hakuna dalili za yeye kupata nafasi......labda OKC waelekee kushinda/kushindwa kwa margin kubwa...ndio watamuingiza.....kwani hakuna tofauti atakayoleta......ilikuwa hivyo kwenye regular season......