- Thread starter
- #241
Hatupaswi kujivunia Ibaka tunapaswa kujivunia huyo wetu lakini bahati mbaya anatuangusha na yeye wala hajali hilo
Juzi nilitembelea Bahamas.....nilipofika nikaambiwa kwamba kuna IAAF World relays....nikauliza kama kuna nchi kutoka Afrika ikiwemo nchi yangu....nikaambiwa Tanzania haina wawakilishi isipokuwa wapo Kenyans, Ugandans and Ethiopians.....nikaenda kushuhudia....kwa kweli nilifurahi sana kuona Wa-Kenya wakivunja rekodi mbili za dunia......nikashangilia sana....kwa hiyo nilifanya makosa!......can you imagine Wa-Kenya (wadada) waliwazunguka wenzao na kuvunja rekodi..... Ab-Titchaz ulipata nafasi ya kuona zile rekodi?.....hebu tuwekee mapicha please!
Ibaka ni muafrika...tena jirani yetu......ni furaha kumuona anavyojituma na kutuwakilisha waafrika vilivyo Mkuu....
Last edited by a moderator:

