Indiana kungekuwa kuna Lance wa 5 basi wangefanya vizuri sisemi Kama Lance alichokuwa anafanya kwa Lebron kizuri ila bora yeye alipania game na kufanya visa na game anacheza vizuri ila wenzake wanazingua tu ila kuna vitu kuna players utawafanyia vituko utaumia wewe tu Kobe Bryant Vs Barnes na Lebron Vs Lance mwisho wa siku jamaa tooooo gooood! Lebron anatishia maisha bwana George Hill alifika kwenye Rim alishamuona kwa uoga Lebron unashangaa tu Block unajuwa Kama linakuja ila namna inavyokuja ni hatari.