mbona Spurs hamjaweka Pic au ndio watu wa Miami? Safarihii Spurs anashinda 4-2 final tuombe Parker awe mzima.
Naona kijana wetu Hashim Thabeet anaendeleza usuguaji wa benchi.....yeye kazi yake sasa ni kushangilia tu....duuuhh
...yaani nikiangalia ndani ya Spurs...naona ni "total package"....na zaidi......maana kuna three pointers za uhakika, Belinelli, Green, Diaw, Manu......ukichanganya vurugu za Parker, Tim, Leonard na Mills....yaani sioni wa kuwazuia kuchukua ubingwa mwaka huu.....naona Ab-Titchaz ....ametuminyia/kaushia pichaz!.....lol
mbona Spurs hamjaweka Pic au ndio watu wa Miami? Safarihii Spurs anashinda 4-2 final tuombe Parker awe mzima.
Tupo tunasubiri kuona Tatu za Danny Green Naomba Parker awe kamili Kibulibuli kitapenya tu cha ufaransa Kaka yake Duncan mzee wa Basic Basketball namuaminia Manu ndio anatakiwa kunyayua game yake Papa Leo anawatoa wanawe vizuri wanaijua NBA Finals juu chini Haitaji Cheerleader Bench.
duh mimi ni miami heat lakini season hii kuna kitu kinaniambia spurs watatufunga....naomba niwe wrong!!!