Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Hii ilikua bab-kubwa mazee....
Kawhi Leonard of the San Antonio Spurs dunks the ball against the Miami Heat during Game Six of the 2014 NBA Finals on June 12, 2014 at American Airlines Arena in Miami, Florida.
Lady James ain't no shit!
Sasa Lebron afikirie kumshawishi Melo kwenda Miami Kama walivyojipangia Bosh,Wade na Lebron. michael Jordan alisema kweli wakati wake MJ ni MJ wakicheza 1 on 1 Lebron hashindi hata moja Kasema mtu mmoja tu atampa tabu Kobe Bryant haimaanishi kwamba naye atashinda ila kama nisha Bryant ni anajuwa kusoma game za watu nakujuwa yupi weak yupi strong amuingie vipi Kabla hujajiona strong lazima ujue wa Mbele yako yupo vipi lasivyo ndio game utaenda kwenye kiti Shingo chini. Tim Duncan na Parker wamepitia yote Yale.Leo Mabrazamen wanajilamba tu midomo
Mkuu wangu RRONDO uko wapi leo?
One more.
Lady James has chocked once again.
Halafu kuna watu wanataka kumfananisha na Michael Jordan!!!! Really!?
aisee leo nilibanwa sana....jana nilijidai kidume nikaangalia brzail vs croati halafu nikaunga na hii game 4 na nafikiri nimekuwa victim wa kwanza wa world cup!!!!
turudi kwenye game....miami wamezidiwa kila angle....kwa basketball ni vizuri sana kuonyesha kuwa it takes more than just talent to triumph!! miami wana talents spurs wana TEAM na tunaona matokeo yake.
up to date team with 3-1 lead in best of seven are 30-0!!!
Jordan is basketball's standard for excellence!
...Leadership and Teamwork, Both are lacking in Miami.
Hivi game zetu za Afrika/Tz zinafuatiliwa na wazungu aghalabu kama sisi tunavyofuatilia zao?
tuanze na wewe, huwa unafuatilia game zenu?? nani bingwa wa basketball tanzania??
Mkuu mi sipo Tz na hata sina interest na hiyo kitu, mi game yangu footy; ila huwa naona ni kama kuwa 'brainwashed' flan hivii..mawazo yangu tu lkn usinihukumu