2014 NBA Finals...updates

2014 NBA Finals...updates

Hii ilikua bab-kubwa mazee....

625x527.jpg

Kawhi Leonard of the San Antonio Spurs dunks the ball against the Miami Heat during Game Six of the 2014 NBA Finals on June 12, 2014 at American Airlines Arena in Miami, Florida.

during game 4 Kaka...
 
Shughuli yote kwa sasa ipo bara la America...
Tunatoka Kaskazini tunashuka Kusini
 
Leo Mabrazamen wanajilamba tu midomo
Sasa Lebron afikirie kumshawishi Melo kwenda Miami Kama walivyojipangia Bosh,Wade na Lebron. michael Jordan alisema kweli wakati wake MJ ni MJ wakicheza 1 on 1 Lebron hashindi hata moja Kasema mtu mmoja tu atampa tabu Kobe Bryant haimaanishi kwamba naye atashinda ila kama nisha Bryant ni anajuwa kusoma game za watu nakujuwa yupi weak yupi strong amuingie vipi Kabla hujajiona strong lazima ujue wa Mbele yako yupo vipi lasivyo ndio game utaenda kwenye kiti Shingo chini. Tim Duncan na Parker wamepitia yote Yale.
 
Lebron James pia tukubali kwenye game ya NBA sasa hivi yeye ni Best anachotakiwa ajirekebisha vitabia Wade kaharibika kwa kujiona sababu ya Lebron na Bosh ndio Kabisa hawa jamaa watatu wanawafanya wenzao Kama sio kitu ndio tofauti ya Miami na Spurs tizama Papa anafanya wachezaji wake wote ni muhimu kuliko Duncan au Parker.
 
Mkuu wangu RRONDO uko wapi leo?

aisee leo nilibanwa sana....jana nilijidai kidume nikaangalia brzail vs croati halafu nikaunga na hii game 4 na nafikiri nimekuwa victim wa kwanza wa world cup!!!!

turudi kwenye game....miami wamezidiwa kila angle....kwa basketball ni vizuri sana kuonyesha kuwa it takes more than just talent to triumph!! miami wana talents spurs wana TEAM na tunaona matokeo yake.

up to date team with 3-1 lead in best of seven are 30-0!!!
 
Duuuhh Wakuu nilisikia tu kelele za my significant other kwenye simu.....ilibidi ni-pause kidogo nitoke kwenye Party ya Samba.......maana yeye anaishangilia Spurs........duuuhh hii balaa.....nimerudi mjini likizo imeisha.....na maumivu......na hiyo Sunday ndio kabisaaa.....Heat atacharazwa viboko kama mtoto wa Kiafrika aliyegoma kwenda shule....Jumatatu "Boksi" na maumivu duuhhh......we will be back next season wakuu.....maana kwa hali ilivyo Heat hachomozi tena......
 
Afadhali nilii-enjoy kwenda kuona samba Sao-Paulo na pesa yangu imepona kuangalia Heat pale Miami....maana ingekuwa maumivu mbayaaaa....duuhh
 
...Leadership and Teamwork, Both are lacking in Miami.

aisee leo nilibanwa sana....jana nilijidai kidume nikaangalia brzail vs croati halafu nikaunga na hii game 4 na nafikiri nimekuwa victim wa kwanza wa world cup!!!!

turudi kwenye game....miami wamezidiwa kila angle....kwa basketball ni vizuri sana kuonyesha kuwa it takes more than just talent to triumph!! miami wana talents spurs wana TEAM na tunaona matokeo yake.

up to date team with 3-1 lead in best of seven are 30-0!!!
 
Hivi game zetu za Afrika/Tz zinafuatiliwa na wazungu aghalabu kama sisi tunavyofuatilia zao?
 
tuanze na wewe, huwa unafuatilia game zenu?? nani bingwa wa basketball tanzania??

Mkuu mi sipo Tz na hata sina interest na hiyo kitu, mi game yangu footy; ila huwa naona ni kama kuwa 'brainwashed' flan hivii..mawazo yangu tu lkn usinihukumu
 
Mkuu mi sipo Tz na hata sina interest na hiyo kitu, mi game yangu footy; ila huwa naona ni kama kuwa 'brainwashed' flan hivii..mawazo yangu tu lkn usinihukumu

wala sikuhukumu, game zetu zimejaa majungu na vurugu...ndio maana hata sisi wenyewe kufuatilia inakuwa issue, angaliaa issue ya Wambura Simba.

Sio kuwa brainwashed, kizuri chajiuza...
 
Back
Top Bottom