Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Pacers na OKC kwa nyakati tofauti naona wamesawazisha mambo yao........
Pacers na OKC kwa nyakati tofauti naona wamesawazisha mambo yao........
Kabisaaaa!! Mvp na bwana RW0(Mr Triple-double) wamefanya yao na Hibbert kwa upande wa Pacers amewafunga mdomo critics kwa kushusha 28p na 9r.
Uliisikia speech ya MVP KD....aisee.....kama hukuisikia itafute.......
Gemu ya Miami leo ilikuwa ngumu sana.......Le Bron leo alibanwa ile mbaya......
That was deep!
KD seems to be a very grounded, well-adjusted young man.
That speech made me a fan of his even more than I was before.