Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
mwanzo m-baya kwa Heat leo....
Tusubiri tuone na kesho....ila I have a feeling Pacers wanaweza wakaichukua series.
Nina hamu sana ya kuona jinsi Spurs atakavyopambana na OKC leo........
OKC wako shorthanded leo hivyo sitarajii waichukue hii series.
Kuna kila dalili za Spurs kuchukua ubingwa mwaka huu....sioni OKC akikatiza na wala sioni Pacers/Miami akikatiza......maana mijamaa inacheza kufa mtu....lol
Kuna kila dalili za Spurs kuchukua ubingwa mwaka huu....sioni OKC akikatiza na wala sioni Pacers/Miami akikatiza......maana mijamaa inacheza kufa mtu....lol
Kuna wakongwe Duncan,Ginobili na Parker wana uzoefu sana,OKC wanajitahidi sana wanakosa wakongwe wachache kuongeza uzoefu