- Thread starter
- #41
Mazee ngoma bado mbichi........Bulls wana hasira zaidi ya Nyati aliyejeruhiwa mazee......!
Bulls wameshinda gemu ya tatu.....lakini duuhhh ilikuwa too close!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazee ngoma bado mbichi........Bulls wana hasira zaidi ya Nyati aliyejeruhiwa mazee......!
Naona kijana wetu Hashim Thabeet anaendeleza usuguaji wa benchi.....yeye kazi yake sasa ni kushangilia tu....duuuhh
Our the one only NBA player in the history of our great country anaendeleaje ktk Playoffs?. Sijawahi kuangalia mechi hata moja playoffs hii.
Tatizo ni kwamba, huyu Bwana anacheza basketball kwa vile tu ni mrefu; Lakini technically, hana talent ya kuwa mcheza basket. Hayupo kama akina Abass Mansour wa enzi zile za Pazi, alikuwa mrefu halafu mchezo alikuwa anauweza!.Timuyake ilicheza jana na ilishinda......kijana wetu yeye anaendelea kusugua benchi.....na kuwa "mshangiliaji maarufu"...........
Miami kashinda leo.......Pacers wanatia huruma!