BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Miami Heat wameniboa sana jana, walikuwa wanashinda kabisa ile game, wakaanza kufanya turnovers chungu nzima matokeo yake Spurs wakafanya vitu vyao. Na huyu King James sijui msimu wake ndio umekwisha au vipi maana kama hawezi kuendelea basi Spurs watachukua kiulaini sana. Pia Owners wa Spurs waache ubahili wa kuendelea kuwa na BB Court ya mwaka 47 wajenge Basketball Ball Court ya kileo ili kuepukana na matatizo kama ya jana yaliyosababisha cooling system kushindwa kufanya kazi na kuwaweka wachezaji, waamuzi na watazamaji katika tanuri.



