2015-2023 ten best bongo flavor on my playlist

2015-2023 ten best bongo flavor on my playlist

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Hii ndo list Kali inayotamba kwasasa kwenye playlist yangu ya bongo flavor(kizazi cha Sasa tu), list ipo ndani ya hiyo miaka haitatoka nje!.
tulieni tuwafundishe mziki kwa wale msiojua mziki mzuri ni upi!..😅










 
Nitaendelea kuwaambia singeli sio mziki ni makelele nashaa sijui mnawapaje airtime waimba singeli!!..
Nawaacha na bonus track hii musheherekee muziki mzuri wa kizazi hiki Cha akina bandari...
Watakuja wenye masikio ya ngamia waseme hawajasikia..😅
 
Mnaoanza kuota tuvipara sijawaacha umaneni na hii hizi nyimbo nitakuja na playlist yake pia kutoka mambele japo ni yakitambo Wacha iwakilishe,mziki mtamu toka kwa shaggy
 
Hii ndo list Kali inayotamba kwasasa kwenye playlist yangu ya bongo flavor(kizazi cha Sasa tu), list ipo ndani ya hiyo miaka haitatoka nje!.
tulieni tuwafundishe mziki kwa wale msiojua mziki mzuri ni upi!..😅

View attachment 2658073
View attachment 2658075
View attachment 2658078
View attachment 2658080
View attachment 2658083
View attachment 2658084
View attachment 2658086
View attachment 2658089
View attachment 2658090
View attachment 2658091
Kuna wimbo unaitwa MPENZI uliopigwa na CAZ T,huu wimbo nina usaka sana,km unao nisogezee mkuu.
 
Mi napenda ngoma zenye vibezzzzz na nikisikia lazma zinipe hamu ya kupata kaglass....

Oyaaaaa mwenzenu mimi sijui kutongoza wakijipitisha namwaga helaaa (ahsante)🎼🎵
 

Enzi hizo nimemaliza kumsikiliza Khamis Dambaya, Charles Mabeya au Deokaji Makomba kwenye kipindi cha michezo (hawa wana walikuwa wanajua,pengine labda hawakuwa na ushindani lkn kipindi bora kabisa cha michezo RFA) baadae taarifa ya habari,hapa utamkuta Dr Roy Barick Maganga, George Sandhu Mpanda au Hassan Maduhu (weweeee hawa watu walikuwa hawaiambo.

Sasa baada ya hayo yote kuna bonge la kipindi kinaitwa Love zone likiongozwa na Dr Roy Barick Maganga,sasa huu wimbo ndo alukuwa akianza nao mara zote na ndo ulikuwa unapiga km intro muda akiwa ana zungumza.

Muda ni usiku mnene niko katikati ya ziwa victoria nime lala kimasomaso nikisikilizia honi za meli tusije tukakanyagishwa rami,hapo mwana niliye naye kasinzia fo fofo baada ya kupiga bangi mara baada tu ya kumaliza kutega.

Duh,hii ngoma buana!
Hivi ile RFA itarudi au tuendelee kuwavumilia akina mibangi Mchomvu, comedian aki Masanja?

Sauti tamu za akina Jane Mukama,Rahabu Fred na wengineo hakuna tena badala yake ni hawa wajuaji akina nani nani hawa?
 
Mi napenda ngoma zenye vibezzzzz na nikisikia lazma zinipe hamu ya kupata kaglass....

Oyaaaaa mwenzenu mimi sijui kutongoza wakijipitisha namwaga helaaa (ahsante)🎼🎵
😅 Sidhani kama unajua nyimbo zenye vibe kama hiyo wasema ina vibe..😎
 
Back
Top Bottom