2015-2023 ten best bongo flavor on my playlist

2015-2023 ten best bongo flavor on my playlist

Enzi hizo nimemaliza kumsikiliza Khamis Dambaya, Charles Mabeya au Deokaji Makomba kwenye kipindi cha michezo (hawa wana walikuwa wanajua,pengine labda hawakuwa na ushindani lkn kipindi bora kabisa cha michezo RFA) baadae taarifa ya habari,hapa utamkuta Dr Roy Barick Maganga, George Sandhu Mpanda au Hassan Maduhu (weweeee hawa watu walikuwa hawaiambo.

Sasa baada ya hayo yote kuna bonge la kipindi kinaitwa Love zone likiongozwa na Dr Roy Barick Maganga,sasa huu wimbo ndo alukuwa akianza nao mara zote na ndo ulikuwa unapiga km intro muda akiwa ana zungumza.

Muda ni usiku mnene niko katikati ya ziwa victoria nime lala kimasomaso nikisikilizia honi za meli tusije tukakanyagishwa rami,hapo mwana niliye naye kasinzia fo fofo baada ya kupiga bangi mara baada tu ya kumaliza kutega.

Duh,hii ngoma buana!
Hivi ile RFA itarudi au tuendelee kuwavumilia akina mibangi Mchomvu, comedian aki Masanja?

Sauti tamu za akina Jane Mukama,Rahabu Fred na wengineo hakuna tena badala yake ni hawa wajuaji akina nani nani hawa?
Utasubiri sana hawarudi sahivi wamebaki hawa makanjanja!
 
Back
Top Bottom