2015-2023 ten best bongo flavor on my playlist

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Hii ndo list Kali inayotamba kwasasa kwenye playlist yangu ya bongo flavor(kizazi cha Sasa tu), list ipo ndani ya hiyo miaka haitatoka nje!.
tulieni tuwafundishe mziki kwa wale msiojua mziki mzuri ni upi!..πŸ˜…

Your browser is not able to play this audio.

Nitaendelea kuwaambia singeli sio mziki ni makelele nashaa sijui mnawapaje airtime waimba singeli!!..
Nawaacha na bonus track hii musheherekee muziki mzuri wa kizazi hiki Cha akina bandari...
Your browser is not able to play this audio.
Watakuja wenye masikio ya ngamia waseme hawajasikia..πŸ˜…
 
Mnaoanza kuota tuvipara sijawaacha umaneni na hii hizi nyimbo nitakuja na playlist yake pia kutoka mambele japo ni yakitambo Wacha iwakilishe,mziki mtamu toka kwa shaggy
 
Kuna wimbo unaitwa MPENZI uliopigwa na CAZ T,huu wimbo nina usaka sana,km unao nisogezee mkuu.
 
Mi napenda ngoma zenye vibezzzzz na nikisikia lazma zinipe hamu ya kupata kaglass....

Oyaaaaa mwenzenu mimi sijui kutongoza wakijipitisha namwaga helaaa (ahsante)🎼🎡
 
Enzi hizo nimemaliza kumsikiliza Khamis Dambaya, Charles Mabeya au Deokaji Makomba kwenye kipindi cha michezo (hawa wana walikuwa wanajua,pengine labda hawakuwa na ushindani lkn kipindi bora kabisa cha michezo RFA) baadae taarifa ya habari,hapa utamkuta Dr Roy Barick Maganga, George Sandhu Mpanda au Hassan Maduhu (weweeee hawa watu walikuwa hawaiambo.

Sasa baada ya hayo yote kuna bonge la kipindi kinaitwa Love zone likiongozwa na Dr Roy Barick Maganga,sasa huu wimbo ndo alukuwa akianza nao mara zote na ndo ulikuwa unapiga km intro muda akiwa ana zungumza.

Muda ni usiku mnene niko katikati ya ziwa victoria nime lala kimasomaso nikisikilizia honi za meli tusije tukakanyagishwa rami,hapo mwana niliye naye kasinzia fo fofo baada ya kupiga bangi mara baada tu ya kumaliza kutega.

Duh,hii ngoma buana!
Hivi ile RFA itarudi au tuendelee kuwavumilia akina mibangi Mchomvu, comedian aki Masanja?

Sauti tamu za akina Jane Mukama,Rahabu Fred na wengineo hakuna tena badala yake ni hawa wajuaji akina nani nani hawa?
 
Mi napenda ngoma zenye vibezzzzz na nikisikia lazma zinipe hamu ya kupata kaglass....

Oyaaaaa mwenzenu mimi sijui kutongoza wakijipitisha namwaga helaaa (ahsante)🎼🎡
πŸ˜… Sidhani kama unajua nyimbo zenye vibe kama hiyo wasema ina vibe..😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…