2016 Ballon d"or..

Pole ulikuwa hujaelewa nimanisha kwenye clab ndg simchukii ila pia simpendi
Acha UONGO...
Mechi ya mwisho kufunga katika club ilikua ni tarehe 15 mwezi huu...
Real Madrid alicheza na Real Betis,Madrid alishinda goli 6 kwa 1,Goli la mwisho lilifungwa na Cristiano Ronaldo...

Hizo siku 38 unazosema Ronaldo amekaa bila kufunga goli umezitoa wapi..!?
 
Pogba awepo kwenye shortlist halafu ozil asiwepo kupatwa kwa tuzo
Pogibwa sio huyu wa Man4ngo....shortlisted Paul Pogba was then Juventus mido kisheti not the current midoshati wa Manure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…