George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Kuna game ya kimataifa alipiga goli nne peke yake..!Ongea wewe mkweli Mara ya mwisho lini kushangilia goli LA ronaldo
Wala haijapita siku 30..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna game ya kimataifa alipiga goli nne peke yake..!Ongea wewe mkweli Mara ya mwisho lini kushangilia goli LA ronaldo
Huikumbuki ni sawa na kwamba haipo kafualia hujui labdaKuna game ya kimataifa alipiga goli nne peke yake..!
Wala haijapita siku 30..!
Kwanini nikudanganye ndugu..!?Huikumbuki ni sawa na kwamba haipo kafualia hujui labda View attachment 423990
Pole ulikuwa hujaelewa nimanisha kwenye clab ndg simchukii ila pia simpendiKwanini nikudanganye ndugu..!?
Game aliyopiga goli nne ilichezwa tarehe 7 mwezi huu...
Sasa hizo siku 38 unazozizungumzia wewe sijui umezitoa wapi..!?
View attachment 424006 View attachment 424007
Chuki zako dhidi ya Ronaldo hazikusaidii kitu..!
Acha UONGO...Pole ulikuwa hujaelewa nimanisha kwenye clab ndg simchukii ila pia simpendi
Naenda Congo, mark my words, Messi habebi hiyo kituUtakimbilia wapi? Nchi zote kwa sasa vita, labda tukimbilie kwa mugabe
Messi akichukua mi nayalundaaaa haki ya nan...[emoji2] [emoji2] [emoji2] ...
Naenda Congo, mark my words, Messi habebi hiyo kitu
Ntakuwa kongo asee😀😀Mara congo,mara rwanda..end of the day utaniambia naenda Afghanistan😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mashabiki wa mmrocco bana kama sina hoja kwanini wewe usijibu hizo hoja,unakazana hauna hoja
Ozil! Ndo nani?Ozil hayupo mbona hapo
Pogibwa wa Man4ngo United au yule wa Juve[emoji12] [emoji12] [emoji12]The world football player of the year IZZ POGBAAAA
Ana siku 38 hajafunga katika uwanja wa real MadridKuna game ya kimataifa alipiga goli nne peke yake..!
Wala haijapita siku 30..!
Pogba awepo kwenye shortlist halafu ozil asiwepo kupatwa kwa tuzoOzil! Ndo nani?
Pogibwa sio huyu wa Man4ngo....shortlisted Paul Pogba was then Juventus mido kisheti not the current midoshati wa ManurePogba awepo kwenye shortlist halafu ozil asiwepo kupatwa kwa tuzo
Hata usijisumbue kumjibu haelewi chochote huyoUnafahamu vigezo lakini? Au unadhani hii ni ya msimu wa 16/17?