2016 to 2021, maono ya kuwa Hayati Magufuli atafariki dunia yalikuwa ni mengi sana humu ndani na nje ya hili jukwaa

Aiylan wasalan

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
730
Reaction score
1,478
Kama Heading inavyojieleza,ni kweli toka 2016 to 2020 maono yalikua ni meng sana kua Jpm atakufa au ataongoza kwa muhula mmoja.

Je, ni kipi kinachopelekea hayo maono hayapo ndani ya utawala huu wa Samia, je yeye hana mabaya au yeye hakosei chochote kwenye uongozi wake?!

Samia ni bora kwenye uongozi hadi watu hawaji na maono kua atakufa?
 
Kama Heading inavyojieleza,ni kweli toka 2016 to 2020 maono yalikua ni meng sana kua Jpm atakufa au ataongoza kwa muhula mmoja. Je ni kipi kinachopelekea hayo maono hayapo ndani ya utawala huu wa Samia,je yeye hana mabaya au yeye hakosei chochote kwenye uongozi wake?! Samia ni bora kwenye uongozi had watu hawaji na maono kua atakufa?!
Dalili za mtu kufa zipo Kama unavyoona dalili za Mwanamke kukaribia kujifungua
 
Kama Heading inavyojieleza,ni kweli toka 2016 to 2020 maono yalikua ni meng sana kua Jpm atakufa au ataongoza kwa muhula mmoja. Je ni kipi kinachopelekea hayo maono hayapo ndani ya utawala huu wa Samia,je yeye hana mabaya au yeye hakosei chochote kwenye uongozi wake?! Samia ni bora kwenye uongozi had watu hawaji na maono kua atakufa?!
Weka hizo links and must be 1+ au ule ban...
 
Kama Heading inavyojieleza,ni kweli toka 2016 to 2020 maono yalikua ni meng sana kua Jpm atakufa au ataongoza kwa muhula mmoja. Je ni kipi kinachopelekea hayo maono hayapo ndani ya utawala huu wa Samia,je yeye hana mabaya au yeye hakosei chochote kwenye uongozi wake?! Samia ni bora kwenye uongozi had watu hawaji na maono kua atakufa?!
Hii nakumbuka vizur sana, watu wengi walidai kuoneshwa kifo cha JIWE, naona ushungi umeacha njia za jiwe ili uwe salama😅
 
Kwa zile heka heka za jiwe ilikuwa ngumu kutoboa hai. Ndio maana watu wengi walimtabiria kifo

maana Maadui walikuwa smart kuliko wanaomlinda.

Hakuna mtu mweusi yeyote anaeweza kujilinda dhidi ya biological weapon ama technological weapon kama wababe wakitaka kukuondoa duniani.

Huwezi kujilinda na hayo mambo kwa kutegemea walinzi wenye degree za udsm na muhimbili
 
Kipindi hicho nilikuwa sio mtumiaji sana wa Jf, hizo nyuzi sikuziona.

Ila kosa kubwa ambalo PM Majaliwa alifanya ni kuudanganya umma kuwa Magufuli ni mzima kumbe alikuwa anaumwa kweli. Wakati ambao kulikuwa na minong'ono nchi nzima Magufuli anaumwa,viongozi wangejitokeza na kusema ukweli kama anaumwa kuna namna iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu ingeweza kufanyika kuzuia kifo chake mpaka amalize muhula wake lakini viongozi waliudanganya umma , umma ukaja kushtukizwa na taarifa za kifo chake.

Niliyahisi maumivu ya watanzania mahali popote mwili wa Magufuli ulipokuwa unapita. Watanzania waliumizwa sana na kifo cha Magufuli.
 
Kama Heading inavyojieleza,ni kweli toka 2016 to 2020 maono yalikua ni meng sana kua Jpm atakufa au ataongoza kwa muhula mmoja. Je ni kipi kinachopelekea hayo maono hayapo ndani ya utawala huu wa Samia,je yeye hana mabaya au yeye hakosei chochote kwenye uongozi wake?! Samia ni bora kwenye uongozi had watu hawaji na maono kua atakufa?!
Yeyote anayejifanya Mungu atakufa kibwege sana! Wakati Jiwe, Polepole na Bashiru wakinunua Wapinzani, Jiwe alikuwa akisema hivi, Nanukuu "Waacheni waliolemewa na mizigo waje kwangu nami nitawapumzisha" Hii ilikuwa kauli ya kijinga kabisa ya Jiwe ya kujjfananisha na Mungu iliyommaliza kabisa.

Nabii Lema aliwahi kumuonya kwamba akiendelea kujiita Mungu atakufa lakini akapuuza na akamkamata na kumtupa selo kwa muda mrefu, ndio kama hivihivi wanavomfanyia Dr Slaa
 
Kipindi hicho nilikuwa sio mtumiaji sana wa Jf, hizo nyuzi sikuziona.

Ila kosa kubwa ambalo PM Majaliwa alifanya ni kuudanganya umma kuwa Magufuli ni mzima kumbe alikuwa anaumwa kweli. Wakati ambao kulikuwa na minong'ono nchi nzima Magufuli anaumwa,viongozi wangejitokeza na kusema ukweli kama anaumwa kuna namna ingeweza kufanyika kuzuia kifo chake mpaka amalize muhula wake lakini viongozi waliudanganya umma , umma ukaja kushtukizwa na taarifa za kifo chake.

Niliyahisi maumivu ya watanzania mahali popote mwili wa Magufuli ulipokuwa unapita. Watanzania waliumizwa sana na kifo cha Magufuli.
Hakuna Mtanzania aliyeumizwa na kifo cha huyo mtu wako, iko hivi, Kijijini kwetu Kajunjumele aliwahi kuwapo Mamba kwenye mto Kiwira aliyekuwa anamaliza watu na mifugo, watu hawakumpenda Mamba yule, lakini siku alipokuja kuuawa na Maofisa wa wanyapori, Kyela nzima ilijaa kuja kujionea Mamba huyo mla watu, umati ulikuwa mkubwa sana!

Unadhani Mamba yule alipendwa?
 
Yeyote anayejifanya Mungu atakufa kibwege sana! Wakati Jiwe, Polepole na Bashiru wakinunua Wapinzani, Jiwe alikuwa akisema hivi, Nanukuu "Waacheni waliolemewa na mizigo waje kwangu nami nitawapumzisha" Hii ilikuwa kauli ya kijinga kabisa ya Jiwe ya kujjfananisha na Mungu iliyommaliza kabisa.

Nabii Lema aliwahi kumuonya kwamba akiendelea kujiita Mungu atakufa lakini akapuuza na akamkamata na kumtupa selo kwa muda mrefu, ndio kama hivihivi wanavomfanyia Dr Slaa
Lema ni nabii?! Au ndo wale wale manabii wa mchongo!??
 
Hakuna Mtanzania aliyeumizwa na kifo cha huyo mtu wako, iko hivi, Kijijini kwetu Kajunjumele aliwahi kuwapo Mamba kwenye mto Kiwira aliyekuwa anamaliza watu na mifugo, watu hawakumpenda Mamba yule, lakini siku alipokuja kuuawa na Maofisa wa wanyapori, Kyela nzima ilijaa kuja kujionea Mamba huyo mla watu, umati ulikuwa mkubwa sana!

Unadhani Mamba yule alipendwa?
Mbona unajbu kwa hasira sana mkuu?! Magufuli hayupo…punguza mhemko tujadili kwa kutumia akili na sio hisia.
 
Back
Top Bottom