Aiylan wasalan
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 730
- 1,478
Dalili za mtu kufa zipo Kama unavyoona dalili za Mwanamke kukaribia kujifunguaKama Heading inavyojieleza,ni kweli toka 2016 to 2020 maono yalikua ni meng sana kua Jpm atakufa au ataongoza kwa muhula mmoja. Je ni kipi kinachopelekea hayo maono hayapo ndani ya utawala huu wa Samia,je yeye hana mabaya au yeye hakosei chochote kwenye uongozi wake?! Samia ni bora kwenye uongozi had watu hawaji na maono kua atakufa?!
Weka hizo links and must be 1+ au ule ban...Kama Heading inavyojieleza,ni kweli toka 2016 to 2020 maono yalikua ni meng sana kua Jpm atakufa au ataongoza kwa muhula mmoja. Je ni kipi kinachopelekea hayo maono hayapo ndani ya utawala huu wa Samia,je yeye hana mabaya au yeye hakosei chochote kwenye uongozi wake?! Samia ni bora kwenye uongozi had watu hawaji na maono kua atakufa?!
Emu nisaidie hizo dalili za mtu kufa mkuu?!Dalili za mtu kufa zipo Kama unavyoona dalili za Mwanamke kukaribia kujifungua
Hii nakumbuka vizur sana, watu wengi walidai kuoneshwa kifo cha JIWE, naona ushungi umeacha njia za jiwe ili uwe salama😅Kama Heading inavyojieleza,ni kweli toka 2016 to 2020 maono yalikua ni meng sana kua Jpm atakufa au ataongoza kwa muhula mmoja. Je ni kipi kinachopelekea hayo maono hayapo ndani ya utawala huu wa Samia,je yeye hana mabaya au yeye hakosei chochote kwenye uongozi wake?! Samia ni bora kwenye uongozi had watu hawaji na maono kua atakufa?!
Kama wew ni member mgeni humu ndo utaulzia link.Weka hizo link must be 1+ au ule ban...
Kwahyo hyo ina maanisha kwamba hayakua maono bali ilkua ni ujumbe unatumwa kwetu kua tujiandae kwa kifo cha president wetu?!Kwa zile heka heka za jiwe alikuwa hatoboi..
Maadui walikuwa smart kuliko wanaomlindq
Kwahyo hyo ina maanisha kwamba hayakua maono bali ilkua ni ujumbe unatumwa kwetu kua tujiandae kwa kifo cha president wetu?!
Dr Omary hakua rais wa nchi,bwana mbatizaji.Dr Omar Jumaa alitabiriwa na nani
Ya Mungu wa Mbinguni tumwachie Mungu wa Mbinguni Mwenyewe
Yeyote anayejifanya Mungu atakufa kibwege sana! Wakati Jiwe, Polepole na Bashiru wakinunua Wapinzani, Jiwe alikuwa akisema hivi, Nanukuu "Waacheni waliolemewa na mizigo waje kwangu nami nitawapumzisha" Hii ilikuwa kauli ya kijinga kabisa ya Jiwe ya kujjfananisha na Mungu iliyommaliza kabisa.Kama Heading inavyojieleza,ni kweli toka 2016 to 2020 maono yalikua ni meng sana kua Jpm atakufa au ataongoza kwa muhula mmoja. Je ni kipi kinachopelekea hayo maono hayapo ndani ya utawala huu wa Samia,je yeye hana mabaya au yeye hakosei chochote kwenye uongozi wake?! Samia ni bora kwenye uongozi had watu hawaji na maono kua atakufa?!
Hakuna Mtanzania aliyeumizwa na kifo cha huyo mtu wako, iko hivi, Kijijini kwetu Kajunjumele aliwahi kuwapo Mamba kwenye mto Kiwira aliyekuwa anamaliza watu na mifugo, watu hawakumpenda Mamba yule, lakini siku alipokuja kuuawa na Maofisa wa wanyapori, Kyela nzima ilijaa kuja kujionea Mamba huyo mla watu, umati ulikuwa mkubwa sana!Kipindi hicho nilikuwa sio mtumiaji sana wa Jf, hizo nyuzi sikuziona.
Ila kosa kubwa ambalo PM Majaliwa alifanya ni kuudanganya umma kuwa Magufuli ni mzima kumbe alikuwa anaumwa kweli. Wakati ambao kulikuwa na minong'ono nchi nzima Magufuli anaumwa,viongozi wangejitokeza na kusema ukweli kama anaumwa kuna namna ingeweza kufanyika kuzuia kifo chake mpaka amalize muhula wake lakini viongozi waliudanganya umma , umma ukaja kushtukizwa na taarifa za kifo chake.
Niliyahisi maumivu ya watanzania mahali popote mwili wa Magufuli ulipokuwa unapita. Watanzania waliumizwa sana na kifo cha Magufuli.
Lema ni nabii?! Au ndo wale wale manabii wa mchongo!??Yeyote anayejifanya Mungu atakufa kibwege sana! Wakati Jiwe, Polepole na Bashiru wakinunua Wapinzani, Jiwe alikuwa akisema hivi, Nanukuu "Waacheni waliolemewa na mizigo waje kwangu nami nitawapumzisha" Hii ilikuwa kauli ya kijinga kabisa ya Jiwe ya kujjfananisha na Mungu iliyommaliza kabisa.
Nabii Lema aliwahi kumuonya kwamba akiendelea kujiita Mungu atakufa lakini akapuuza na akamkamata na kumtupa selo kwa muda mrefu, ndio kama hivihivi wanavomfanyia Dr Slaa
Mbona unajbu kwa hasira sana mkuu?! Magufuli hayupo…punguza mhemko tujadili kwa kutumia akili na sio hisia.Hakuna Mtanzania aliyeumizwa na kifo cha huyo mtu wako, iko hivi, Kijijini kwetu Kajunjumele aliwahi kuwapo Mamba kwenye mto Kiwira aliyekuwa anamaliza watu na mifugo, watu hawakumpenda Mamba yule, lakini siku alipokuja kuuawa na Maofisa wa wanyapori, Kyela nzima ilijaa kuja kujionea Mamba huyo mla watu, umati ulikuwa mkubwa sana!
Unadhani Mamba yule alipendwa?
Majibu ya swali hili muulize Job NdugaiLema ni nabii?! Au ndo wale wale manabii wa mchongo!??
Tena nimekujibu kwa maandiko mepesi sana ili uelewe, sasa ukishindwa kuelewa hapa basi itabidi Tumswalie mtume tuMbona unajbu kwa hasira sana mkuu?! Magufuli hayupo…punguza mhemko tujadili kwa kutumia akili na sio hisia.
Kwanini mbowe hakumtumia kwenye uchaguzi wenu,ili kupunguza zile aibu zenu au lissu angemtumia kipnd kile hajashambuliwa ili aweze kukwepa lile shambulio!?Majibu ya swali hili muulize Job Ndugai