2016 Toyota Fortuner 2.8 GD.

2016 Toyota Fortuner 2.8 GD.

Ni rand 250,000 mpaka rand 300,000 model ya 2010 mpaka 2012 tsh ni kama kuanzia 35milion mpaka 45milion unapata bila kodi ya TRA hapo kununua tuu..
Kumiliki gari TZ ni anasa kwa kweli,hizo bei kama ingekuwa ndio tayari unaimiliki si kila mtu angekuwa na gari ........ sasa vile vigari vyetu si ndio bei ya kuokota ??
 
samsun kwa South Africa gari ni kitu cha kawaida kabisa em fikiri kidogo Ford Ranger ya 2016 mtu yeyote mwenye vibali vyao anaweza akalichukua bila hata kulipa deposit unaanza kukatwa wewe ndio unachagua lini uanze kulipa ndani ya miezi sita au baada na unalipa Rand 4999 kila mwezi na likipata ajali bima inahusika unachagua brand ingine unayotaka wewe..
 
1004011345_1_644x461_2014-land-rover-range-rover-evoque-coupe-si4-dynamic-pietermaritzburg.jpg

Evoque hiyo rand 250,000
 
Natumai ntaweza kununua volvo xc90 ya kuanza mwaka 2016 mungu akipenda. Imeshinda tuzo ya best suv of the year ulaya, marekani na Canada halafu engine ndogo tu cc 2000.
 
Hii gari ipo so cute ndani.
Ni nyeupe mwanzo mwisho.
Kama mchafu, utaiogopa.
 
Hizo za SA zina specs kama za US & Europe?
Bavaria SA akipata kibali cha kutengeneza Gari kutoka kwa patent mara nyingine huwa anauza kuriko mmiliki mwenyewe Mfano Toyota Quantum,Vw golf 5,6,7,Ford bantam na baadhi ya mercedes...Hiyo Volvo ni ya kawaida tuu kwa gari anazofyatua Kaburu ni shida...
 
Kwahiyo nikinunua gari ya SA ni sawa na nimenunua ya EU/US? Na bei inakuwa ya chini kidogo?
 
Yaa zipo sawa tuu na bei SA ipo chini kuriko EU hata hivyo TZ gari ni nyingi za SA kuriko za EU hizi za model za sasa hivi uzuri wa SA gari ikipita miaka 5 au 6 hiyo bei inaporomoka sana hata iweje hawaangalii soko ni mwaka wa gari kuriko Nchi zingine gari 2003 bei ipo juu hatari SA hayo ni old model bei mnapatana hata 2005 model pia iwe Suv,Lori,Saloon,pick up bei itakua chini.,,
 
Ntakuja kufanya shopping mwaka fulani.
Nitajie bei za Porsche Cayyene turbo S. Ya mwaka 2010.
 
Back
Top Bottom