Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
Naomba bei ya range rover evoque
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni rand 250,000 mpaka rand 300,000 model ya 2010 mpaka 2012 tsh ni kama kuanzia 35milion mpaka 45milion unapata bila kodi ya TRA hapo kununua tuu..Naomba bei ya range rover evoque
Kumiliki gari TZ ni anasa kwa kweli,hizo bei kama ingekuwa ndio tayari unaimiliki si kila mtu angekuwa na gari ........ sasa vile vigari vyetu si ndio bei ya kuokota ??Ni rand 250,000 mpaka rand 300,000 model ya 2010 mpaka 2012 tsh ni kama kuanzia 35milion mpaka 45milion unapata bila kodi ya TRA hapo kununua tuu..
Mimi nataka Auto ...ila najiwazia tu.wanazo auto na manual ni wewe unataka ipi..
Natumai ntaweza kununua volvo xc90 ya kuanza mwaka 2016 mungu akipenda. Imeshinda tuzo ya best suv of the year ulaya, marekani na Canada halafu engine ndogo tu cc 2000.
Kweli mkuu ila zipo za rangi nyingine ndani pia. White interior ya kitajiri sana.Hii gari ipo so cute ndani.
Ni nyeupe mwanzo mwisho.
Kama mchafu, utaiogopa.
View attachment 391286
Volvo xc 90 SA katoa pia hizo
Bavaria SA akipata kibali cha kutengeneza Gari kutoka kwa patent mara nyingine huwa anauza kuriko mmiliki mwenyewe Mfano Toyota Quantum,Vw golf 5,6,7,Ford bantam na baadhi ya mercedes...Hiyo Volvo ni ya kawaida tuu kwa gari anazofyatua Kaburu ni shida...Hizo za SA zina specs kama za US & Europe?
Bavaria SA akipata kibali cha kutengeneza Gari kutoka kwa patent mara nyingine huwa anauza kuriko mmiliki mwenyewe Mfano Toyota Quantum,Vw golf 5,6,7,Ford bantam na baadhi ya mercedes...Hiyo Volvo ni ya kawaida tuu kwa gari anazofyatua Kaburu ni shida...
Yaa zipo sawa tuu na bei SA ipo chini kuriko EU hata hivyo TZ gari ni nyingi za SA kuriko za EU hizi za model za sasa hivi uzuri wa SA gari ikipita miaka 5 au 6 hiyo bei inaporomoka sana hata iweje hawaangalii soko ni mwaka wa gari kuriko Nchi zingine gari 2003 bei ipo juu hatari SA hayo ni old model bei mnapatana hata 2005 model pia iwe Suv,Lori,Saloon,pick up bei itakua chini.,,Kwahiyo nikinunua gari ya SA ni sawa na nimenunua ya EU/US? Na bei inakuwa ya chini kidogo?
Yaa zipo sawa tuu na bei SA ipo chini kuriko EU hata hivyo TZ gari ni nyingi za SA kuriko za EU hizi za model za sasa hivi uzuri wa SA gari ikipita miaka 5 au 6 hiyo bei inaporomoka sana hata iweje hawaangalii soko ni mwaka wa gari kuriko Nchi zingine gari 2003 bei ipo juu hatari SA hayo ni old model bei mnapatana hata 2005 model pia iwe Suv,Lori,Saloon,pick up bei itakua chini.,,
Hii haipo diesel yake mkuu maana nyingi naona ni petrol tu.Hii gari ipo so cute ndani.
Ni nyeupe mwanzo mwisho.
Kama mchafu, utaiogopa.
Hivi SA hawatengenezi products za Honda?