2017 Afcon Final - Egypt vs Cameroon. Cameroon wamechukua ubingwa kwa kushinda kwa magoli 2-1

Hawa misr wameanza kuingiwa na,barid
 
Mimi nasubiri Penati tu.
Napenda sana kuona magoli mengi yakifungwa kwa wakati mmoja huku makipa wakionyesha ufundi wao.
 
Mpira hudunda Mkuu ila hawa Misri nawaona kama wana determination kubwa sana, ila nataka wapigwe leo.
Naona ngoma imerudi kuwa 50-50 lakinu pamoja na cameroon kudominate nafasi ya misri kushinda bado naiona.... Makameruni yanakosa kosa sana na hizi dalili sio nzuri si unakumbuka ufaransa nyumbani?
 
Ubinafsi na kutotulia golini kwa Misri kunaweza kukawagharimu hawa Cameroon

Back
Top Bottom