2017 Afcon Final - Egypt vs Cameroon. Cameroon wamechukua ubingwa kwa kushinda kwa magoli 2-1

2017 Afcon Final - Egypt vs Cameroon. Cameroon wamechukua ubingwa kwa kushinda kwa magoli 2-1

Haya sasa hayawi hayawi yamekuwa

Watu wanabeba ndoo yao
 
Kheeeeeee kheeeeeee 2-1 Cameroon bonge ya goli.
 
Hivi Joel matip na Liverpool yake huko aliko unatabili atakuwa na hali gan?
 
Waarabu washaanza kutaka kuleta vurugu.
 
Back
Top Bottom