Wamekua kama arsenal hawaSubuuutu!!!
Racism!!!Egypt ipo Africa lakin Sio Waafrica!
Ishinde Cameroon!
Kama wamepigwa si wamestahiki au wameonewa?Wahamiaji haramu weshapigwa huko 😀😀😀
Hivi Joel matip na Liverpool yake huko aliko unatabili atakuwa na hali gan?
Nibora walisusa wakachukuliwa madogo na ndio maana wameshindaWapo tisa waliokataa, na watajisikia vibaya sana, diouf aliwaponda sana na akawatabiria watafeel guilty kususia.
Nibora walisusa wakachukuliwa madogo na ndio maana wameshinda
Haya tufurahi wote.Weusi tumechukua
Huyu jamaa tangu michuano ya AFCON ianze na mpaka imeisha liverpool yake haijawahi kushinda na ni bora hata hakuja pengine angawatia balaha wenzake wasingeiona na hata hiyo fainali ni heri hayo mabalaha yake kabaki nayo liverpul huko.mi nawaza tu wale maproo wa kameruni walojiona wana p*umbu kubwa kuliko p*umbu za nchi wakaamua kukataa kuichezea timu ya taifa kina Joel matip, choup moting na kunguru wenzao watakua wanajiskiaje sasa hivi?!
Point of correction Egypt na saudia hawajapigwa stop na Trump ,Egypt ni mshirika/mtoto wa USAEgyty naichukia kama nchi zilizopewa ban na Trump!
Kwanini,wao wanajifanya si waafrica,sawa na hawa jamaa walipigwa stop na Trump,kila kukicha wanasema wao ni wengi marekani mara sjui dini yao inakua kwa kasi kumbe wao wanahamia huko kwa kasi,sasa si wahamia Iran na Russia kwa watetezi wao