2017 Afcon Final - Egypt vs Cameroon. Cameroon wamechukua ubingwa kwa kushinda kwa magoli 2-1

2017 Afcon Final - Egypt vs Cameroon. Cameroon wamechukua ubingwa kwa kushinda kwa magoli 2-1

Habari njema sana hizi kizisikia, mi si mshabiki wa mpira kivile ila Cameroon kutwaa kombe dhidi ya waamisri ni faraja kubwa kwangu.
 
Good hawa madogo walienda wakiwa hawategemewi kabisa, pia hata Cameroon yenyewe ilikuwa ki ramani ya mpira ina anza kuachwa achwa sema wamepigana.
Nnacho shukuru wame mstopisha Egypt nilo kuwa siwakubali kabisa
 
Hellow football fans Cameroon is the best national team in africa following to their AFCON championship tonight.

The indomitable lions as they are fondly known outclassed the Pharaos and saw them off 2-1 in the last clash of the tournament evening sunday.

Egyptian boys tried their best as possible as they could but they were nowhere to catch up with brilliant perfomance shown by their fierce rivals. Their only console is that only opening goal scored early at the game.

As true african i'm very proud of cameroon.
 
upload_2017-2-5_21-17-55.png


_93973185_cameroon.jpg


Seven time winner ... .. .
 
Binafsi nahitaji Kupata Majina ya Hao wachezaji Tisa Waliogoma Kucheza . ! Majina yao , Timu wanazozichezea Huko Walipo , Na Sababu ya kukataa kuja Kuzichezea timu zao .
 
Egyty naichukia kama nchi zilizopewa ban na Trump!
Kwanini,wao wanajifanya si waafrica,sawa na hawa jamaa walipigwa stop na Trump,kila kukicha wanasema wao ni wengi marekani mara sjui dini yao inakua kwa kasi kumbe wao wanahamia huko kwa kasi,sasa si wahamia Iran na Russia kwa watetezi wao
 
mi nawaza tu wale maproo wa kameruni walojiona wana p*umbu kubwa kuliko p*umbu za nchi wakaamua kukataa kuichezea timu ya taifa kina Joel matip, choup moting na kunguru wenzao watakua wanajiskiaje sasa hivi?!
Huyu jamaa tangu michuano ya AFCON ianze na mpaka imeisha liverpool yake haijawahi kushinda na ni bora hata hakuja pengine angawatia balaha wenzake wasingeiona na hata hiyo fainali ni heri hayo mabalaha yake kabaki nayo liverpul huko.
da0906c176803418fe4083a2e9d6b8be.jpg
 
Egyty naichukia kama nchi zilizopewa ban na Trump!
Kwanini,wao wanajifanya si waafrica,sawa na hawa jamaa walipigwa stop na Trump,kila kukicha wanasema wao ni wengi marekani mara sjui dini yao inakua kwa kasi kumbe wao wanahamia huko kwa kasi,sasa si wahamia Iran na Russia kwa watetezi wao
Point of correction Egypt na saudia hawajapigwa stop na Trump ,Egypt ni mshirika/mtoto wa USA


Kabla hujapost Fanya uchunguzi joh inavyoonyesha hata siasa za kimataifa hujui Bali unasikia na kukariri

Halafu hii ni thread ya mpira

Siasa zako peleka jukwaa la siasa na hoja mchanganyiko na jukwaa la dini

Hapa zungumzia Vincent abubakar goli lake ni la kiufundi,misri walizidiwa,Cameroon sasa wamefikisha makombe 5 nk nk

Umbeya mwingine peleka majukwa mengine sisi hayatuhusu
 
Back
Top Bottom