Hector cuper anagundu sanaIla kocha wa Misri nae ni tatizo asee! unapigwaje fainali sita wewe tuu??!
huyu anafuatiwa kwa karibu na Patrice Mwandiga Evra na Le magician Lionel el chapo Messi pugga
IliBinafsi nahitaji Kupata Majina ya Hao wachezaji Tisa Waliogoma Kucheza . ! Majina yao , Timu wanazozichezea Huko Walipo , Na Sababu ya kukataa kuja Kuzichezea timu zao .
Tatizo ni kuwa wamepigwa hadharani.Kama wamepigwa si wamestahiki au wameonewa?
Tatizo lipo wapi kwani
Hata mimi sijui.....ila jana nadhani hawakuwa misri wale. ....ahahahaaa.Hivi kwanini Misri akiingia Fainali lazma abebe ndoo?
Ok.....next time unatakiwa ujuwe mpira ni dk 90. Hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya gwiji la soka duniani PELE wa BrazilBabu ehee.. hawa cameroon wameingia wako overconfident na hilo bao ndio limewachanganya kabisa na wanachofanya kila wakifika mbele hakionekani kuleta impact zaidi ya kupiga nje na kupoteza mpira kwa urahisi.
Pamoja na misri kupooza lakini bado wana chance ya kuongeza goli hapa... Utaliona hili kwa mashambulizi yao jinsi yalivyo organized.
Kifupi hii game ni kama imeshaisha tu na misri ndio bingwa.
I see Hongera zako kwa Ubaguzi... Sasa ukienda Papua new Guinea utashabikia timu zote...Kama mimi ili niwe mshabiki wa timu fulani lazima niangalie rangi kama weusi hata kama hawajui kucheza nitawasapoti,
Vivyo hivyo kwa soccer club za nje kama ina weusi wengi basi ndio huwa nakuwa shabiki wao
mwisho wa siku mbuzi umekua wewe na warabu wenzio,teh teh teh that z futiboli....Chama langu la Siku Zote Egypt Piga Mbuzi hao Cameroon bao zaidi ya 3 bila majibu
Watu wengi hawangalii how soccer linavyochezwa wao rangi za Ngozi tu... Egypt huwa hainiangushi kuliko hawa waswahili... Huwa Nabakigi Mshabiki peke yangu na lazima nitoke kidedea