2017 Afcon Final - Egypt vs Cameroon. Cameroon wamechukua ubingwa kwa kushinda kwa magoli 2-1

2017 Afcon Final - Egypt vs Cameroon. Cameroon wamechukua ubingwa kwa kushinda kwa magoli 2-1

Ila kocha wa Misri nae ni tatizo asee! unapigwaje fainali sita wewe tuu??!
huyu anafuatiwa kwa karibu na Patrice Mwandiga Evra na Le magician Lionel el chapo Messi pugga
Hector cuper anagundu sana

Fainali yake ya uefa ya kwanza Valencia vs Madrid kapigwa ,ya pili dhidi ya Bayern kapigwa na kama sijakosea alivyokuwa Mallorca alipigwa final ya kombe la mfalme

Dah mkongwe huyu saizi bora astaafu
 
Hao wachezaji waliogoma kwa kweli wametia aibu,hivi Club yako ni Bora kuliko nchi yako....huyo Matip ni bure kabisa Mbona mwenzake Mane alikwenda na kurudi yeye ana umaarufu gani?Kwa kweli sijui kwanini tunatukuza pesa kuliko uzalendo katika nchi zetu.Nimependa Alhadji Diofu kwa kuwabwatukia hao wachezaji wa Kameruni walijiona kuwa ni ghali na wamuhimu kuliko wenzao.
 
Babu ehee.. hawa cameroon wameingia wako overconfident na hilo bao ndio limewachanganya kabisa na wanachofanya kila wakifika mbele hakionekani kuleta impact zaidi ya kupiga nje na kupoteza mpira kwa urahisi.

Pamoja na misri kupooza lakini bado wana chance ya kuongeza goli hapa... Utaliona hili kwa mashambulizi yao jinsi yalivyo organized.

Kifupi hii game ni kama imeshaisha tu na misri ndio bingwa.
Ok.....next time unatakiwa ujuwe mpira ni dk 90. Hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya gwiji la soka duniani PELE wa Brazil
 
Wangeshenda hao waarabu Leo kariakoo kusingetosha...


Africa is Black.... We are made of black
 
Halafu hawa wanaokemea sijui wakiitacho ubaguzi hata siwaelewi kabisa, hii ni hatua kubwa kwa mtu mweusi kujitambua na kujithamini. Ni kwa karne nyingi tumeishi tukijidharau na kujiona hatufai kuliko rangi nyingine zote, hii ni hatua kubwa. Bado tunabaguliwa na race nyingine popote pale, kuutukuza uafrika ktk nyanja zote zile ziwe za kimichezo au kidini mi sioni shida yoyote ile.

Jambo moja nina uhakika nalo, waafrika tumejawa na upendo wa asili, hata ikitokea tukawa race kubwa duniani, hatutaitumia hiyo nafasi kuwadhulumu wengine. Hongera Cameroon, hongera Afrika.
 
All in all waliodharauliwa hatimaye wametwaa taji. Tujifunze kuheshimu vipaji vipya hapa bongo
 
Mwafrika akimwita mhindi gabachori poa tu, yeye akiitwa nigga povu linamtoka.

Mwafrika akimwita mwarabu mwarabu koko poa tu, yeye akiitwa nigga povu linamtoka.

Tukisema Afrika for Africans poa tu, Akisema Trump America for Americans, povu linatutoka.

[HASHTAG]#SayNoToRacism[/HASHTAG]
 
Kama mimi ili niwe mshabiki wa timu fulani lazima niangalie rangi kama weusi hata kama hawajui kucheza nitawasapoti,
Vivyo hivyo kwa soccer club za nje kama ina weusi wengi basi ndio huwa nakuwa shabiki wao
I see Hongera zako kwa Ubaguzi... Sasa ukienda Papua new Guinea utashabikia timu zote...

India pia kuna majimbo yana wahindi weusi
 
Naomba kujua majina ya wachezaji nane wa Cameroon waliogoma kujiunga na timu ya taifa
 
Goli la Cameroon la pili si goli halal kwanza mchezaji aliunawa pale refaree alitakiwa apige filimbi ausimamishe and then Mchezaji alinyanyua mguu juu usawa wa uso wa beki wa Misri napo pia ni kosa refaree alitakiwa asimamishe lile ni kosa pia... hivyo Cameroon Kabebwa
 
Chama langu la Siku Zote Egypt Piga Mbuzi hao Cameroon bao zaidi ya 3 bila majibu

Watu wengi hawangalii how soccer linavyochezwa wao rangi za Ngozi tu... Egypt huwa hainiangushi kuliko hawa waswahili... Huwa Nabakigi Mshabiki peke yangu na lazima nitoke kidedea
mwisho wa siku mbuzi umekua wewe na warabu wenzio,teh teh teh that z futiboli....
 
Back
Top Bottom