2018 FIFA World Cup: Yaliyojiri upangaji wa makundi ya Kombe la Dunia

Mwaka huu kombe linarudi nyumbani Amerika kusini!!
 
WC ya mwaka huu itakuwa na ushindani sana

Brazil

Spain

German

Belgium

France


Nazipa nafasi kubwa ya kufika mbali na kati ya hizo kuna 1 atabeba ndoo
 
Labda mwaka inaweza kutokea miujiza kwa team zetu za Afrika kuingia Robo au Nusu fainali
Kufika semi final ni ngumu kidogo maana wenzetu walishawekeza sana kwenye soka na soka ni Sayansi hivyo itakuwa ngumu as far as exposure ni kila kitu ktk futbal na experience ya kucheza ktk tournament kubwa....ligi shindani ulaya... talent kwa wachezaji...good preparation....good supports from both govermnt...internal futball federation... na mwisho spirity ya kupambana kwa wachezaji wenyewe..

Katika hivo vitu utakuja Africa kuna vitu tulishaachwa na wenzetu...Japo mpira ni dk 90
 
ARGENTINA au GERMANY__kati ya hawa wawili mojawapo isipobeba naomba mods wanipige Ban la kudumu.
 
Dah, miaka inaenda sana! Hivi kombe la dunia ni mwaka huu kumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…