Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,404
tuwape nafasi MisriLabda mwaka inaweza kutokea miujiza kwa team zetu za Afrika kuingia Robo au Nusu fainali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuwape nafasi MisriLabda mwaka inaweza kutokea miujiza kwa team zetu za Afrika kuingia Robo au Nusu fainali
Unamaanisha nini? [emoji2] [emoji2]Nahamin Brazil atafanya maajabu
simba na mtibwaTeam zip kutoka bara la afrika zitashirik hyo world cup
nadhani 'anaamini'Unamaanisha nini? [emoji2] [emoji2]
i wish i could be a moderatorsimba na mtibwa
Kwa nani?Mwaka huu kombe linarudi nyumbani Amerika kusini!!
How about Egypty?In Africa i put my trust on Senegal
Kufika semi final ni ngumu kidogo maana wenzetu walishawekeza sana kwenye soka na soka ni Sayansi hivyo itakuwa ngumu as far as exposure ni kila kitu ktk futbal na experience ya kucheza ktk tournament kubwa....ligi shindani ulaya... talent kwa wachezaji...good preparation....good supports from both govermnt...internal futball federation... na mwisho spirity ya kupambana kwa wachezaji wenyewe..Labda mwaka inaweza kutokea miujiza kwa team zetu za Afrika kuingia Robo au Nusu fainali
Mimi ningependa tujadili world cup 1998!
England (the three lions )nipo hapa.
Naweka mzigo wangu hapa.Germany kwa mara nyingine tena