2018 FIFA World Cup: Yaliyojiri upangaji wa makundi ya Kombe la Dunia

2018 FIFA World Cup: Yaliyojiri upangaji wa makundi ya Kombe la Dunia

Ulie leta huu uzi umeharakisha sana sijuh ulikuwa unahofia kwamba kuna mtu atakuwahi kuweka.! Huu sio uzi wa kuitwa Special Thread kwasababu hujazingatia vigezo. Ilipaswa utulie uandike kwa urefu, utangulizi ni muhimu mfano utwambie ni timu ngapi zinashiliki, timu kutoka Afrika nizipi na kila kitu kilicho muhimu katika mashindano hayo. Sio unakimbia kuandika tu inimladi uonekane tu na ww umeweka thread. Aya edit huo uzi wako kwa ufanisi na ufasaha. Kama hujui pitia kwenye Special Thread zilizo humu uchukue uzoefu kisha uje uandike vizuri.
 
Lakini wana miguu ya kuchezea mpira

Mark my words, utakuja kuniambia Mkuu. Hata Argentina tulisema ivo ivo mwisho wa siku tukachezea kichapi cha goli 1 dakika za lala salama_na tulicheza vizuri zaidi ya brazil. Kwa ufala wa Higuain kombe likaenda ulaya.
 
Kivipi wale unawalenganixha na nchi gani tena na ujue xio history tu bali mfuatiliaji wa soka la Germany kwa ujumla na mpenzi wa Bayern Munich

Ujerumani mna kikosi kizuri sana + Kikosi B nao ni tishio__

kwa Argentina wana kikosi kipana na wachezaji wao wengi ni wazuri sana sijajua kosa liko wapi.

Uyu kocha tuliyempata/Gorge Sampaoli naamini atakiweka sawa__ hope tukikutana final kwa mara nyingine Dybala na Messi hatowaacha salama Mkuu.
 
Hapo ndo inabidi niagize popcorn ili niendelee kubeti Germany bingwa msimu huu ndg.
 
Back
Top Bottom