Alonso14
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,785
- 1,817
Serengeti wavulanaAfrica tunawakilishwa na nani na nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serengeti wavulanaAfrica tunawakilishwa na nani na nani
SenegalTeam zip kutoka bara la afrika zitashirik hyo world cup
Nampa nafasi BrazilTeam Germany gonga like hapa tujuane
Duh mkuu una majibu ya ajabuSerengeti wavulana
Wengi mko Ujerumani kwa historia!Germany woyooo[emoji470] [emoji119] [emoji119]
Germany kwa mara nyingine tena
Nampa nafasi Brazil
NipoTeam Germany gonga like hapa tujuane
Lakini wana miguu ya kuchezea mpiraTimu ya madada iyo. Wasubiri 7 zingine
Lakini wana miguu ya kuchezea mpira
Kivipi wale unawalenganixha na nchi gani tena na ujue xio history tu bali mfuatiliaji wa soka la Germany kwa ujumla na mpenzi wa Bayern MunichWengi mko Ujerumani kwa historia!
Kivipi wale unawalenganixha na nchi gani tena na ujue xio history tu bali mfuatiliaji wa soka la Germany kwa ujumla na mpenzi wa Bayern Munich
Hapo ndo inabidi niagize popcorn ili niendelee kubeti Germany bingwa msimu huu ndg.Ujerumani mna kikosi kizuri sana + Kikosi B nao ni tishio__
kwa Argentina wana kikosi kipana na wachezaji wao wengi ni wazuri sana sijajua kosa liko wapi.
Uyu kocha tuliyempata/Gorge Sampaoli naamini atakiweka sawa__ hope tukikutana final kwa mara nyingine Dybala na Messi hatowaacha salama Mkuu.