2018 FIFA World Cup: Yaliyojiri upangaji wa makundi ya Kombe la Dunia

Watakiona cha fire....pale mbele kuna mashine kibao akiwemo na mfalme,

Dybala na Lcardi 9 hawa makinda hatari mno,,, na kuna wengine wamekosa namba
Halafu hata mwaka 2014 ilitakiwa tulibebe sema fala higuain akazingua
Sitaki aanze huyu higuain labda Tisa acheze Aguero au Icardi halafu messi na dybala nyuma kidogo
 
Ww Uruguay alishapotea lini? Chile je? Colombia? Hivi mechi za kufuzu world cup unafananisha ushindani wa America kusini na ulaya? Ulaya ni pesa tu.Soka la ulaya linabebwa na uwepo wa mastaa wa America kusini

Mtolee mfano wa timu kubwa za ulaya zinabebwa/zinapewa ushindi na wakina nani?

  • Barcelona/Argentina=KING
  • Man city/Argentina=Aguero
  • Tottenham/Argentina=erick lamela
  • Juventus/Argentina=MAGICIAN Dybala na Higuain
  • Inter milan/Argentina=Mauro lcardi
  • Psg/Argentina=Di maria
  • Psg/Argentina=Javier pastore
  • Psg/Uruguay=Cavani
  • Psg/Brazil=Neimar
 
Yes nadhani ameshasoma na ameelewa
 
Kundi A
Urus
Misri
Saud Arabia
Uruguay.


Kundi B
Spain
Morocco
Iran
Ureno

Kundi C
France
Peru
Australia
Denmark

Kundi D
Argentina
Croatia
Nigeria
Iceland

Kundi E
Brazil
Serbia
Switzerland
Coast Rica

Kundi F
German
Mexico
S Korea
Sweden


Kundi G
England
Panama
Tunisia
Belgium


Kundi H
Senegal
Poland
Japan
Colombia


Huku Afrika tukiwakilishwa na mataifa ya Nigeria, Senegal, Tunisia,misri na morocco,
Je unadhani taifa gani litatuakilisha vyema,na ni Taifa gani litabeba FIFA world cup 2018 kule urusi.

Tukutane hapa tujadili kwa pamoja mwanzo hadi finali,

Afrika naipa Senegal nafasi kufanya vizuri
 
  1. Egypt
  2. Tunisia
  3. Nigeria.....timu hizi 3 zitafanya vizuri japo Egypt ya Mohamed Salah naikubali zaidi.na ninaitakia isonge mbele zaidi....


Argentina tunabeba ndoo bila ubishi.
 
1. Germany
2. Brazil
3. France

mmoja wapo lazima achukue kombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…