Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Halafu hata mwaka 2014 ilitakiwa tulibebe sema fala higuain akazinguaWatakiona cha fire....pale mbele kuna mashine kibao akiwemo na mfalme,
Dybala na Lcardi 9 hawa makinda hatari mno,,, na kuna wengine wamekosa namba
Sitaki aanze huyu higuain labda Tisa acheze Aguero au Icardi halafu messi na dybala nyuma kidogo