Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu za Afrika zishindwe zenyewe tu hapo, draw iko fair sana kwetu.Wanabodi,
Leo kuanzia saa 12 jioni kwa saa za Africa Mashariki kutakua na tukio la upangaji wa makundi ya timu zitakazoshiriki michuano ya kombe la dunia itakayofanyika nchini Russia.
Katika michuano hiyo timu 32 zitashiriki kutoka mabara tofauti, huku Africa tukiwakilishwa na nchi tano ambazo ni; Egypt, Morocco, Nigeria, Senegal na Tunisia.
Je ungependa timu za Africa zipangiwe na timu zipi? na je nafasi ya timu zetu za Africa kufanya vizuri ni ipi?
Nchi gani unanipa nafasi kubwa ya kuchukua kombe hilo?
Timu zilizofanikiwa kungia kwenye michuano hiyo ni:
Kutoka bara la Africa: Egypt, Morocco, Nigeria, Senegal na Tunisia
Kutoka bara la Asia: Austraria, Iran, Japan, Korea Republic na Saudi Arabia
Kutoka bara la Ulaya: Belgium, Croatia, Denmark, England, France, Germany, Iceland, Poland, Portugal, Russia, Serbia, Spain, Sweden, Switzerland
Kutoka bara North,Central America na Carribean: Costa Rica, Mexico na Panama
Kutoka bara la America Kusini: Argentina, Brazil, Colombia, Peru na Uruguay
Tujumuike kwa pamoja wakati tukifuatilia upangaji huo wa makundi
Hivi ndivyo timu zilivyo kwenye pots
![]()
Updates
Group A: Russia, Uruguay, Egypt, Saudi Arabia
Group B: Portugal, Spain, Iran, Morocco
Group C: France, Peru, Denmark, Australia
Group D: Argentina, Croatia, Iceland, Nigeria
Group E: Brazil, Switzerland, Costa Rica, Serbia
Group F: Germany, Mexico, Sweden, Korea Republic
Group G: Belgium, England, Tunisia, Panama
Group F: Poland, Colombia, Senegal, Japan
Timu za Afrika zishindwe zenyewe tu hapo, draw iko fair sana kwetu.
Senegal na Nigeria zipo makundi yanayohimilika lakini wale Waarabu watakiona ....
Mi naona Moroko ndio iko kundi gumu.Mkuu Afrika hatupo vizuri tumedondokea makundi ambayo si rahisi kupita
Fafanua zaidi mkuu, unahisi kuna "bao la mkono" mpaka huko?
Nimejaribu kufikiria kwamba kwanini waarabu wapangwe kwenye makundi yenye vigogo wengi..ofcoz bao la mkono linaweza kuwepo ila tu Kwa wenzetu linafanyika kisayansi.
Argentina vs Nigeria. Hawa jamaa huwa wanakutana sana. Juzi kwenye friend match Argentina kachezea 4-2. Sasa wanakitana tena.
Usije kusema tuu kulikuwa na "hujuma" kwenye upangaji huo