Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brazil itapendeza
Hadi Iran anatushinda dah Tz sijui tuna fani gani
Kaka vipaji tunavyo sema tu namna tunavyo organize soka letu ndiyo tatizoIrani wako juu baba.
Kaka vipaji tunavyo sema tu namna tunavyo organize soka letu ndiyo tatizo
Huenda ni ndoto ya mchana!Spain yangu lazima ibebe ubingwa
Yako? Hongera mzunguSpain yangu lazima ibebe ubingwa
Bora ungenyamaza tu ukaficha ujinga wakoMkuu wamezingatia vigezo gani mechi ya ufunguzi kuwa kati ya Urusi na Saudi Arabia? Au ndo inakuwa miongoni mechi za makundi?
Sioni wa kunizuiaHuenda ni ndoto ya mchana!
AsanteYako? Hongera mzungu